jibu1. Bsmart Brands nishule na Chuo huru mahali ambapo Vijana hukuza vipaji vyao, ndoto zao, na kusajili miradi yao ilikufanikisha malengo yao katika maisha.
Jibu 2. Bsmart inapatikana musomamjini japi huduma za bsmart zinapatikana nchi nzima
Jibu #3. huduma za bsmart unaweza kupata kwa njia tofauti tofauti ni wewe tu utaamua uzipate kwa nzia zipi
njia za kupata huduma zetu ni kama vile
1. Kwa kutembelea tovuti yetu yaani www.bsmartbrands.co.tz
2. kufika ofisi zetu zilizopo barabara ya serengeti au
3. kutupigia simu au kutuma ujumbe whatsap au sms kwa namba hii 0784519486
Jibu #4. Huduma za Bsmart ni pamoja na
https://static.wixstatic.com/media/undefined