top of page
  • YouTube

Bsmart Clubs

KARIBU UJIUNGE NA BSMART CLUB


Kupitia Bsmart Club Mteja wetu anapata Tuzo ya Fedha Taslimu kati ya Tshs 325,000 hadi Tshs 1,000,000 kwa kutegemea ngazi aliyofikia ili kufanikisha malengo yake kielimu au kimaisha. Tuzo kwa Kids na Jipange hutolewa baada ya miaka mitatu, na tuzo kwa ngazi zilizosalia ni baada miaka miwili au mwaka mmoja tangu kuingia katika hatua hiyo. Wajasiriamali wote,
Wazazi na Wanafunzi wa High school, Vyuo na Vyuo Vikuu na vijana waliohitimu masomo yao wanaopenda kufanikisha Malengo yao Kielimu na Kimaisha wanayofursa ya kujiunga na Bsmart Club. Watoto na wanafunzi ngazi za Nursery, Msingi na Sekondari wanaweza kujiunga kwa usimamizi wa wazazi wao.

 

Tunazo ngazi 7 za Uanachama

 

  1. Bsmart Friends Costs- Kujiunga ni Bure

  2.  Bsmart kids  Kujiunga Tsh 10,000/= Tuzo ni Tshs 325,000 (miaka 3

  3. Bsmart Jipange Kujiunga Tsh 20,000/=Tuzo ni Tshs 500,000 (miaka 3)

  4. Bsmart Scholars Kujiunga Tsh 40,000/= Tuzo ni Tshs 500,000 (miaka2)

  5. Bsmart Graduates Ukifika units 250.Tuzo ni Tshs 500,000 (mwaka 1)

  6. Bsmart entreprenuers Ukifika unis 450. Tuzo ni Tshs 700,000 (mwaka 1)

  7. Bsmart Gold Members Ukifika units 650. Tuzo ni Tshs 1mil mwaka 1

Wateja wote walionunua Tiketi za Bsmart wanapata Bonus ya Units 10 za
Bsmart na kuingia wanachama wa Bsmart club ngazi ya Friends bure

huduma zetu

Wasiliana nasi

Tell: +255710 819 486 / +255629 461 383

Whatsapp:  +255784 519 486

© 2020 Bsmart Brands, proudly created by  Eliya.A.N. 

bottom of page