Uzinduzi wa Kituo cha Kidijitali cha MARA MPYA
- Eliya Amos
- Jun 23, 2020
- 1 min read
Updated: Jun 24, 2020
KUTOKA TCCIA MARA THE NEXT BIG NEWS THIS JUNE 2020 HABARI NYINGINE KUBWA MWEZI HUU! Ndugu zangu wana Mara Ninamshukuru Mungu tumeamka salama wenye afya. TRH 25.6.2020 Tunatarajia Kufanya Tukio Kubwa Sana la Uzinduzi wa Kituo cha KIDIGITALI cha MARA MPYA Kituo hiki kitasaidia Kufanya shughuli zifuatazo:- 1. Kuutangaza Mkoa wa Mara kama Kitivo cha Utalii na Lango la Biashara la Afrika Mashariki 2. Kutangaza Fursa za Uwekezaji na Biashara zilizopo Mkoa wa Mara kwa Wadau wa ndani na nje ya nchi 3. Kutangaza na Kuuza Bidhaa na Malighafi zinazozalishwa Mara TUNAOMBA Ikiwa unapenda Ujisajili Kushiriki Tukio hili Muhimu sana ktk Historia ya Mkoa na Nchi Yetu. UZINDUZI huu unakwenda Sambamba na Uzinduzi wa MFUKO wa MITAJI na UWEZESHAJI wa TCCIA Mfuko unaotusaidia Kubuni na Kufanikisha Miradi ya Kimkakati ktk Mkoa na Hivyo Kama Kiongozi, Mwanatccia, Mfanyabiashara, Mwekezaji, Mkulima, Mfugaji, Mvuvi, Mtumishi, Mjasiriamali Mdogo au Mkubwa Tunaomba Mchango wa Tshs 500; Tshs 1000; Tshs 5,000; Tshs 10,000; Tshs 20,000; Tshs 50,000; Tshs 100,000 kuchangia Mfuko wetu. Kama una swali au jambo lolote la kushauri Mawasiliano yetu ni: Mkti Bndengo 0784 519 486 Mtendaji Francis 0753 583 661 It is Time! Let Us Make it Happen Now! Karibuni Tuijenge Sekta Binafsi Mkoa wa Mara Mungu Ibariki Mara Mungu Ibariki Tanzania Boniface Ndengo Imetolewa na Mkti wa TCCIA Mara Tarehe 6.June.2020

Comments